Tuesday, July 14, 2015

Anonymous

DR. SLAA: Nikiwa Rais Nitamtia MAGUFULI Ndani Kwa Kuuza Nyumba za Serikali

Dr Slaa akihojiwa na Radio five ya Arusha Jana jioni nini maoni yake kuhusu uteuzi wa Magufuri kuwania Urais.

Ameongelea mengi lakini amesema iwapo UKAWA wakimpa nafasi na Watanzania wakampa kura za kutosha kushinda Urais atamtia Magufuri ndani ili kujibu tuhuma za uuzwaji wa Nyumba kwa bei ya kutupa.
Source: Radio five, Arusha

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.