Thursday, July 2, 2015

Anonymous

AJALI YA AJABU LEO: Gari Laingia Katika Paa La Nyumba! -[PICHAZ]

Mapema leo gari liligonga na kuingia ndani ya nyumba moja nchini kupitia paa la nyumba hiyo Afrika Kusini. Dereva wa gari hilo amesema kuwa alipokuwa akiliendesha gari hilo alikutana na tuta moja barabarani lililosababisha gari hilo kuruka na kuanguka katika paa la nyumba hiyo. 

Bado haijulikani ni vipi tuta hilo lilisababisha ajali hiyo.
Hakuna mtu aliyejeruhiwa na dereva wa gari hilo hakupata jeraha lolote.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.