Thursday, July 9, 2015

Anonymous

7 PICHAZ: Ex-boyfriend wa Nicki Minaj, Safaree Ajibu Mapigo Kwa Kumuonesha Mrembo Wake Mpya Wakifanya Yao!

Aliyekuwa boyfriend wa miaka 12 wa rapper Nicki Minaj, Safaree Samuels ameamua kujibu mapigo kwa kumuonesha mrembo anayeaminika kuwa mpenzi wake mpya, ikiwa ni ishara kuwa hatimaye ame move on.
Safaree gf
Baada ya Nicki kuachana na Safaree na kuweka wazi uhusiano wake mpya na Meek Mill, hali hiyo ilimsumbua Safaree kiasi cha kuamua kumdiss Nicki kupitia wimbo alioachia ‘Love The Most’.
Huyu ndio mrembo aitwaye Zashia ambaye ni makeup artist wa Miami anayeaminika kuwa mpenzi mpya wa Safaree, huku wengine wanasema huenda anajaribu kutaka kumuumiza Nicki tu.
zashia-3
zashia-1
zashia-2
zafaree1
zafaree3
11

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.