Sunday, May 15, 2016

Anonymous

Nikiwa Karibu na BEYONCE Nageuka Bubu -DJ Khaled Atoa ya Moyoni

Mkali huyo anazunguka na Queen Bey kwenye ziara yake ya Formation.Ameliambia gazeti la The New York Times kuwa heshima aliyonayo kwa Bey ni kubwa mno kiasi cha kuwa muoga wa kuongea sana akiwa nay ili asije akaharibu.

“Nakuwa mkimya sana. Muda wote ambao nimewahi kuonana naye ni pale ninapokuwa na kaka yangu Jay Z, na huwa nasema “Hi,” na kuangalia upande mwingine haraka na ni kama nakimbia,” alisema.
“Sitaki tu kuongea sana. Siwezi nikaharibu.”

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.