Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Tuesday, June 30, 2015
Anonymous
VIDEO Iliyosubiriwa Sana CHEKECHA CHEKETUA -ALIKIBA Tayari Ninayo Hapa Mdau...Tazama na Ipakue!
Zilipita pichaz na vipisi tu lakini hii ndio video kamili ya Ali Kiba ‘chekecha‘
ambayo imefanywa South Africa wiki kadhaa zilizopita… ukishaitazama
hapo chini tafadhali acha maoni yako kwenye comment box, Ali Kiba na team yake watapita kuona
nini mashabiki wanasema..., KARIBU SANA!
Note: Only a member of this blog may post a comment.