Friday, June 19, 2015

Anonymous

PICHAZ: TAZAMA ZITTO KABWE ALIVYOZIBA PUMZI ZA CHADEMA KWA DAKIKA 380


Msafara wa Viongozi wa ACT ukiwasili Kigoma...

Wafuasi wa ACT, wakiandamana kupokea msafara wa Viongozi wa Chama hicho wakati ulipokuwa ukuwasili Mkoani Kigoma jana.

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwapungia mkono wakazi wa mji wa Kigoma jana wakati akiwasili kabla ya kufanya mkutano wahadhara wa kutambulisha viongozi wa chama hicho. Vijana wakiwa na mabango yenye ujumbe huku wakiwa wamejichora miilini kuhusu Zitto.



Wananchi wakiwa na mabango....

wasanii wakitoa burudani jukwaani....

Zitto Kabwe, akivishwa Shati la Kitenge na wafuasi wake...



Zitto, akipokea kadi za wanachama....

Sehemu ya umati wa wananchi waliohudhuria mkutano wa ACT Kigoma.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.