Kandili Yetu [KY] Ni Blog Inayoongoza Kwa Kukupatia Habari Pendwa Za Mastaa 'UDAKU' wa Bongo Na Ngambo, Matukio, Ya Kitaifa, Kimataifa Siasa, Michezo Na Burudani!
Friday, June 19, 2015
Anonymous
PICHAZ: HIVI NDIVYO SAFARI YA UBUNGE YA WEMA SEPETU ILIVYOKUWA MJINI SINGIDA!
Namshukuru Mungu kwa yote.. na sasa safari kuwania ubunge imeanza salama Singida... nashukuru mashabik wangu mnanipokea vzuri sana.. yaani nawapenda mnooo.. Mungu awajalie yaliyo kheri!!! kweli Wanawake tunaweza.. tupia LIKE yako hapa chini kunisupport...
Note: Only a member of this blog may post a comment.