Sunday, June 21, 2015

Anonymous

LOVE YA UKWELI: Msanii DAVIDO kwenye headlines nyingine baada ya hii post yake @Instagram

DAVIDOO
Kuna vitu vimeendelea mitandaoni kwa muda mrefu, labda wakati mwingine mitandao ya kijamii huwa haina taarifa za ukweli kuhusu ukweli wa ishu zenyewe.
Staa wa muziki toka Nigeria, Davido aliwahi kuingia kwenye headlines baada ya kuweka post ambazo watu walihisi kwamba jamaa hakuwa na furaha na ushindi wa Diamond Platnumz kupata Tuzo tatu South Africa na pia Idris kuibuka na Ushindi wa BBAHotshots mwaka 2014.
Davido kaweka post hii hapa chini kwenye ukurasa wake @Instagram, ameweka bendera ya Tanzania alafu hajaandika chochote zaidi ya kuweka alama ya love !!
A photo posted by Davido Adeleke (@davidoofficial) on

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.