Kwenye headlines toka Dodoma labda hii
ilikupita, Wabunge wamesikika mara nyingi wakilalamika kwamba Serikali
itafanya maisha yawe magumu baada ya kutangazwa kwamba bei ya mafuta
itabidi ipande ili kuchangia miradi ya usambazaji wa umeme TZ.
“Uchumi wako utategemea mchango wako unaoutoa katika Taifa hili… Tukiona wafadhili wanatusaidia ni kwa sababu wanachukua
“Uchumi wako utategemea mchango wako unaoutoa katika Taifa hili… Tukiona wafadhili wanatusaidia ni kwa sababu wanachukua
Kodi ya mwananchi wa
kule wanakuja kutusaidia. Kama tuna uchungu wa nchi hii ni lazima
mwananchi achangie shilingi mia moja yake ili tumpelekee umeme kule
aliko“>>> Saada Mkuya.
“Hatuwezi kupitisha bakuli kwa wafadhili tukaomba fedha ili tupeleke umeme vijijini.. Kama tunataka maendeleo ya kiuchumi ya Mwananchi hii tozo tumeipendekeza tunaomba Wabunge mtusapoti kwenye hili“
“Hatuwezi kupitisha bakuli kwa wafadhili tukaomba fedha ili tupeleke umeme vijijini.. Kama tunataka maendeleo ya kiuchumi ya Mwananchi hii tozo tumeipendekeza tunaomba Wabunge mtusapoti kwenye hili“
“Ni lazima mwananchi achangie maendeleo ya nchi yake.. Tunaomba shilingi mia kwa kila ya mafuta ya taa, petroli na diesel kwa ajili ya kupeleka umeme vijijini… Hesabu zetu zimeonesha katika tozo hii tutapata shilingi Bilioni 276.. Tukitegemea fedha za wafadhili katika kutekeleza miradi ya maji inawezekana tusifike tunakotaka kufika”>>> Saada Mkuya.
Stori hiyo iko kwenye hii sauti pia mdau wangu.

Note: Only a member of this blog may post a comment.