Thursday, June 18, 2015

Anonymous

Kauli Hii ya LOWASSA Yaleta Gumzo Kubwa!

Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...
Kweli ama si Kweli? Toa maoni yako hapo chini tafadhali

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.