Brighton masalu
BLANDINA
William Wilbert Chagula ‘Johari,’ amesema kwa sasa amedhamiria kufanya
kazi mara kwa mara tofauti na zamani ambapo alikuwa ‘akibeep’, huku
akiweka wazi kuwa waliodhani ameisha kisanii wakae mkao wa kula kwani
alikuwa akiusoma mchezo.
“Nashangaa watu wanasema nimeishiwa kisanii, nilikuwa na majukumu mengine ya kiofisi, lakini sasa narejea tena kwenye umalkia wangu, waliodhani nimefulia kuigiza wakae mkao wa kula,” alisema.

Note: Only a member of this blog may post a comment.