Thursday, June 18, 2015

Anonymous

Jaji Mkuu Mstaafu na sasa Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu, Augustino Ramadhani naye achukua Fomu kuwania Urais kupitia CCM

Hatimaye aliyekuwa Jaji mkuu wa Tanzania,Jaji Augustino Ramadhan amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya wana CCM ili apitishwe kuwania nafasi ya urais hapo mwezi wa kumi.

Nahisi kama Jaji Ramdhani ndiye atakuwa mgombea kupitia CCM, na mgombea mwenza wake atakuwa Dr Asha Rose Migiro, turufu hii ikishindwa basi CCM watampitisha Dr Augustino Mahiga na mgombea mweza wake atakuwa mama Amina Salum Ally.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.