Baada ya kuzushiwa kifo ,muimbaji mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Banza Stone amesema si jambo la busara la kuzushiana kifo
akizungumza kwenye AMPLIFAYA leo june 24 alisema ‘Mimi
nilikuwa nasumbuliwa na kinjwa sana na ki homa homa fulani kama miezi
miwili lakini saaa hivi niko vizuri, naelendele poa na leo nilienda
hospitali daktari kufanya sound check akaniambia kuwa malaria
TZA:…’Jana ilikua ni mara ngapi kuzushiwa kifo ?
Banza Stone:..’Mimi
hata sijui ila nasikia mara watu oooh banza kafaa, mara ooh kila mtu
anaongea lake ila mimi niko poa ni mzima naweza kufanya kazi ila kwasasa
siko tayari kufanya kazi kwani nitauchosha mwili mwangu
TZA:Vipi kuhusu kazi zako za muziki bado unaendelea nazo ama au ??
Banza Stone’…..Naweza
kusema ninaendelea na muziki kama kawaida kwasababu sasa hivi nina kama
nyimbo sita mpya ziko ndani kesho, kesho kutwa naweza nikaamua niachie
moja mpaka video ziko tayari sio za bendi bali ni zangu binafsi…’
Msikilize hapa...

Note: Only a member of this blog may post a comment.