Thursday, June 25, 2015

Anonymous

HABARI PICHAZ: HATIMAYE LADY JAYDEE Afutwa Machozi, Avalishwa PETE!


Nimekuletea picha hizi zikithibitisha Jide Kuvishwa pete..japo mpaka asasa hajajulikana aliemvalisha pete ni nani....Moja ya Couple za mastaa zilizokuwa maarufu ni ile ya Gadner na Msanii maarufu wa tanzania ajulikanae kama Lady Jaydee, Lakini mapenzi hayo yaliisha baada ya kutokea mambo ambayo mpaka sasa hakuna anaejua ukweli zaidi ya hao wawili.

Jaydee akionyesha pete yake..

CREDIT KWA Hass Media

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.