Monday, June 22, 2015

Anonymous

BONDIA Asiyepigika FLOYD MAYWEATHER Kwenye Headlines Nyingine, Sasa Hivi Anawataka Hawa Wawili Ulingoni!

NEW YORK, NY - DECEMBER 01:  Floyd Mayweather Jr. attends the New Orleans Pelicans vs New York Knicks game at Madison Square Garden on December 1, 2013 in New York City.  (Photo by James Devaney/WireImage)

Floyd Mayweather

Bondia Floyd Mayweather ndio Bondia aliyeandika headlines nyingi zaidi mwaka 2015, ishu ya kuendeleza record yake kutopigwa tangu amekuwa professional kwenye ngumi sio kitu kidogo.. unajua aliowataja kwa maneno yake kwamba anataka kupigana nao mwezi September ni nani na nani? 

Headlines zina nukuu ya alichokisema >>> “Nitapigana na  Karim Mayfield au Andre Berto mwezi September” >>> Floyd Mayweather. 
A video posted by Kel Dansby (@keldansby) on

Waandishi wa Habari hawakuacha hii kitu iishe hivihivi, akatafutwa Andre Berto na haya ndio majibu yake >>> “Ilikuwa tupambane siku nyingi sana… Pambano letu litavutia zaidi kuliko pambano la Pacquiao“>>>– Andre Berto.

Kuna watu ambao hawakuvutiwa na pambano la Mayweather na Pacquiao, ikitokea mmoja kati ya hao wawili wakikutana Ulingoni unadhani litavutia kuliko la kwanza la Floyd Mayweather VS Manny Pacquiao?

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.