Ilitokea
taarifa Arusha kwamba kuna gari lilisimamishwa na Askari wa usalama
barabarani lakini likakataa kusimama na baadae likawagonga kwa Makusudi
Askari hao ambapo baadhi yao walipoteza maisha.
Kamanda wa Polisi Arusha Liberatus Sabas alizungumza na Millard Ayo na kuthibitisha yafuatayo >>> ‘Gari letu liligongwa lakini sio kwamba Walilisimamisha, huyo Dereva ndio aliacha barabara upande wake na akaifata gari ya Polisi na kuigonga, hakuna Askari yeyote aliyefariki‘

Hizi ni baadhi ya picha ambazo zilisambaa kwenye Mitandao mbalimbali sambamba na taarifa hii.

Note: Only a member of this blog may post a comment.