Mtu wako wa nguvu Millard Ayo alipata nafasi ya kualikwa na kuhojiwa na mtangazaji Mtanzania Sporah kutoka kwenye THE SPORAH SHOW, show ya TV ambayo kwa muda mrefu imefanya kazi nzuri ya kuhoji watu mbalimbali.
Kama ulikua hujawahi kukutana na kijiwe chochote kikimuhoji Millard Ayo,
unaweza kuitazama Interview yenyewe kwenye hii video mtu wangu na kama
ndio mara yako ya kwanza kusikia jina la Millard, kwa ufupi tu ni
Mtangazaji wa Radio na TV kutokea Tanzania ambaye kwa sasa anafanya kazi
na CloudsFM.
Waweza tazama au kuipakua (Download) video hiyo ya dakika 56 yote hapa chini mdau...
Waweza tazama au kuipakua (Download) video hiyo ya dakika 56 yote hapa chini mdau...

Note: Only a member of this blog may post a comment.