Hii Message Inazunguka leo Mitandaoni:
Kilimanjaro Music Awards/Tour 2015
Tunashukuru Kwa Kuweza Kufanikisha Zoezi La Jana
Tunapenda Kuwashukuru Wasanii Wote Walioweza Kuhudhuria,
Kushiriki Na Kujinyakulia Tuzo Mbalimbali!
Tumepata Malalamiko Kuhusu Tuzo Ya Mtumbuizaji Bora Wa Mwaka Wa Kiume.......

Kwa Maoni Ya Watu Na Mijadala Bado Ni Kuhusiana Na Tuzo Hiyo... Dah Inakuwa Ni Vigumu Kufanya Au Kubadili Maamuzi Kwani Hata
Meneja Wa TBL Amesema Ilikuwa Na Makosa...

Note: Only a member of this blog may post a comment.