Chande Abdallah
Staa wa filamu Bongo, Aunt
Ezekiel ambaye hivi karibuni alipata mtoto aitwaye ‘Cookie’ amesema kama
kuna mwanamke ambaye ana cheti cha ndoa na Moses Iyobo ajitokeze la
sivyo hawezi kumuacha.
“Kuna watu wanapenda sana kuongea, sasa mimi nasema kama kuna mtu ambaye ana cheti cha ndoa aliyofunga na Iyobo aje tu kisha mimi nitamuachia, la sivyo siwezi kumuacha,” alisema Aunt

Note: Only a member of this blog may post a comment.