Friday, June 5, 2015

Anonymous

12 PICHAZ: MAISHA YA MCHEZAJI MTUKUTU LUIS SUAREZ NJE YA UWANJA UTAYAPENDA TU!

Mchezaji anaechangia kiasi kikubwa kwenye mafanikio ya Barcelona msimu huu Luis Suarez ametupia magoli na kutoa buradani tosha uwanjani. Furaha yake zaidi ya kutupia nyavuni ni ku-spend muda na familia yake.
Suarez ana watoto wa kike wawili na mpenzi wake wamekua pamoja kwa muda wa miaka 12 hadi leo. Haya ni maisha ya Suarez nje ya uwanja.










USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.