Richard bukos
MAHABA popote!
Licha ya kudaiwa ‘wamemwagana’, wapenzi wawili ambao ni wasanii ndani ya
Bongo Movie, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans wameoneshana mahaba
mazito hadharani na kuwaziba midomo waliodhani hawawezi kuwa pamoja
tena.
“Mmh, hawa wamerudiana kwa mahaba mazito namna hiyo tena? Mbona tulisikia wameachana sasa naona wamegandana tena,” alisikika msanii mwingine (jina tunalo).
Hata hivyo, mwandishi wetu alimfuata Ray na kumuuliza kuhusu minong’ono ya wao ‘kutemana’ ambapo alijibu;
“Huyu ndiye mke wangu, hayo mengine achana nayo kabisa.”
Note: Only a member of this blog may post a comment.