Thursday, May 14, 2015

Anonymous

PICHAZ: KUTANA NA KIUMBE HIKI CHA AJABU KUWAHI KUTOKEA DUNIANI!

 KIUMBE kinacholingana na uwezo wa kufikiri kama mwanadam pamoja na tabia za kibinadam kimegundulika huko na manga mpakani mwa tanzania na kenya huku kikiwa na maziwa zaidi ya kumi kwenye mwili wake .
Kiumbe hicho kimekuwa kikifanya mambo ya kibinadam kwauwezo wa hali ya juu bila kukose kutokan na utashiokilionao wa kufikiri na kutenda mambo ya kibionadam kama bina dam wa kawaida. 
Miongoni mwa mambo kiliyo kuwa kiki yafanya kiumbe hicho ni pamoja na kutengeneza sehem sahii ya kulala ikiwa ni npamoja na kuwaogesha watoto wake kama wanavyo fanya binadam wakawaida katika maisha ya kawaida 
 
Pia wamesema kuwa kiumbe hicho kimekuwa kikiishi kwenye misitu mikubwa na kimekuwa hakiwaogopi wanadam wa kawaida

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.