Staa wa Bongo movies, Aunty Ezekiel ame ‘share’ nasi picha hii
kwenye ukurasa wake mtandaoni akiwa na mzazi mwenzie, Mose Iyobo pamoja
na mtoto wao waliompa jina la COOKIE
"La Family @cookie_la_princessa at hosp Sio kwa Ubusy huo looh! Watu
na Cookie zao"-Aunty ameabika mara baada ya kubandika picha hiyo hapo
juu.
Mzee wa Ubuyu
Note: Only a member of this blog may post a comment.