Na Hamida Hassan
Staa wa filamu za Bongo, Halima
Yahya ‘Davina’ ameibuka na kusema kuwa kama itatokea ndoa yake ikawa
ndiyo imevunjika kabisa hatarajii kuolewa tena, itakuwa ndiyo imetosha.
“Yaani kama ndoa yangu itavunjika kwa kweli sihitaji ndoa ya aina yoyote tena katika maisha yangu, nitakachofanya ni kulea watoto wangu tu,” alisema Davina.

Note: Only a member of this blog may post a comment.