Angelina Jolie ana miaka 41 amezaa watoto watatu, Mume wake ni mcheza filamu maarufu Brad Pitt. Siri ya urembo wake anakunywa maji masafi na mengi, juice za matunda. Colberti crime ni mafuta yake pekee anayopaka, hapendi make-up nzito anapenda kua natural. Anapaka lipstic, Shampoo ya Aveda hutumia kwenye nywele zake. Mazoezi hufanya ya yoga na karatee. Misosi anayopenda kula mboga mboga na ana-maintain diet. Hutumia sabuni zenye kuondoa chunusi na harara.
Sunday, May 31, 2015
USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK
TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)
Filed Under:
CELEBRITIES
on Sunday, May 31, 2015
Note: Only a member of this blog may post a comment.