Sunday, May 31, 2015

Anonymous

BAADA YA AFISA POLISI KUTOSWA NA BINTI SIKU YA HARUSI, WANAWAKE MARUFUKU KUTUMIA MTANDAO WA WhataApp!



Rais wa nchi ya Chechnya Ramzan Kadyrov amewakataza wanawake wa nchi hiyo baada tukio la afisa wa polisi hapo juu siku ya harusi yake binti kukataa kuolewa naye na kusimama pembeni. Bwana harusi Nazhud Guchgov miaka 47 na bi harusi Kheda Goylabiyea miaka 17. Baada ya picha hizo kusambaa kwenye mtandao wa what's up na afisa huyo kahaibika.

Rais wa taifa hilo Ramzan Kadyrov.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.