Thursday, May 14, 2015

Anonymous

MAMBO HADHARANI: Mapenzi ya Lil Wayne na Christina Milian sio siri tena...-PICHAZ

Milian 3
Uhusiano wa kimapenzi kati ya Lil Wayne na Chistina Milian sio siri tena japokuwa wawili hawa hata kwenye interview wamekua hawako huru sana kuongelea mapenzi yao.
Vitendo tu ndio vinaongea sasa hivi ambapo Christina Milian amechora tattoo mpya ambayo inaonganisha herufi za majina yao wote wawili kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu, Love hard TnT
Milian 4 
Kama hiyo haitoshi, Chistina Milian ameendeleza mapenzi yake zaidi kwa kuonyesha penzi lake hata nje ya moyo kwa kupitia hii bracelet ya TNT ambayo inasimama kwa Tina na Tunechi.
Milian 1
Milian 2

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.