Ogudugu alifichua hilo akiongea na gazeti la Ynaija hivi karibuni,
ambapo aliendelea kusema kwamba baada ya kufanya naye mapenzi mara moja
hakufahamu kwamba tayari alikuwa na ujauzito ambao haukuufahamu hadi
miezi kadhaa ilipopita.
Alisema alipogundua ana ujauzito alichanganyikiwa, kwani alikuwa
katika mwaka wa mwisho wa masomo yake chuo kikuu. “Kwa kweli
nilichanganyikiwa sana. Nilikosa furaha. Wewe fikiria unapokuja
kugundua baada ya muda mrefu kwamba una ujauzito!” alisema Ogudugu.
Note: Only a member of this blog may post a comment.