Huruma sana, Chuchu Hans ameshambuliwa kwa maneno ya kashfa na wasanii wawili wa Bongo movies Irene Uwoya amedai mdada huyo ana shepu ya henga wakimaanisha mwembamba amesimama kama namba moja.Wakati Johari amemdhihaki kwa kudai mdada huyo amekaa kama mti.

Johari amekua akimwonea wivu msanii mwenzake Chuchu Hans kwakua alimpokonya tonge mdomoni nakumchukua mpenzi wake Ray Kigosi. Johari toka kuachwa huko na Ray Kigosi wamebaki na uhusiano wa kazi kama wamiliki wa kampuni ya RJ company ya utengenezaji filamu.Upande wa Johari mapenzi hayajamkalia vizuri toka kuachana na star huyo wa filamu.

Note: Only a member of this blog may post a comment.