Saturday, May 30, 2015

Anonymous

DIAMOND PLATINUMZ ni Star Africa kuliko watanzania tunavyomchukulia...

Diamond ni Star Africa kuliko watanzania tunavyomchukulia wakati Kundi la Uhuru Kutoka Sauzi Afrika wakiomba kufanya Remix ya Wimbo wake Mpya wa Nanaa, Usiku wa kuamkia leo nchini Nigeria video ya nana ilikuwa gumzo kwenye mitandao. Wabongo sijui kwanin hatupendi vya kwetu siku Diamond Platnumz Mungu amemchukua hawa wanaombeza na kumtukana ndo wanafiki wa kwanza kujifanya kulia hadi kuzimia huku wakimsifia......
Diamond ni kiboko..Hakunaga.......

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.