Wednesday, May 27, 2015

Anonymous

DADA WA DIAMOND AZUA JIPYA INASTAGRAM!

Baada ya Kajala Kufunguka na Kusema kuwa Anawashukuru Wema na Petit Man kwa Kumsaidia na kumfikisha hapo alipo na kutaka urafiki wao urudi kama zamani , Mke wa Petit man ambae ni Dada wa Mwanamuziki Diamond ameshtuka na Kuandika hayo hapo chini kwenye ukurasa wake wa Instagram..

"Umeongea Point my luv ..hauwezi kuwa kama zamani Pettty na Kajala nooooo...lazima sehemu kutaharibika kwa upande wa Pettty" Esma Platnumz

Kitendo cha kuandika maneno hayo ni kile kinachoonekana kuitetea ndoa yake kwani inasemekana kwa Petit man alishawahi kuwa na uhusiano wa Kimapenzi na Kajala..

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.