Saturday, May 30, 2015

Anonymous

6 PICHAZ: MADAI MAZITO! SUTI YA OMMY DIMPOZ KAUKA NIKUVAE!

Omary Nyembo msanii wa bongo fleva kutoka Kigoma mwisho wa reli amekua akijitetea hizi ni suzi mbili tofauti, Le ufukunyukuzzz kwa darubini kiatu cha kahawia,tai,soksi nyeusi,ua jekundu na jeusi kwenye suti zote katika pozi ziko sawa. Kama ni suti tofauti ilikuaje akarudia hadi soksi kwa msanii mkubwa kama baba Wanjera anayelipwa mamilioni ya pesa kwenye show ikumbukwe alikua Ulaya.

PICHA ZA ULAYA ZINATOKA CLEAR!



USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.