Friday, May 1, 2015

Anonymous

10 PICHAZ: ILIVYOKUA DIAMOND, ZARI WAKIFANYIWA EXCLUSIVE INTERVIEW CLOUDS TV/RADIO LEO ASUBUHI!

P Diamond na Zari wakiwa katika pozi na wadau wa Clouds TV, Radio baada ya mahojiano.Diamond na mpenzi wake Zari katika Exclusive One on One Interview ya Power Breakfast ya Clouds FM na 360 ya Clouds TV.
Diamond akimuweka sawa mpenzi wake.
Mtangazani mwenye jina kubwa wa Radio Clouds FM, Gerald Hando 'Mzee Mnoko' (kushoto) na Edson Kamoga wa 360 ya Clouds TV (kulia) wakiendelea kufanyia mahojiano Diamond na Zari.
Mtangazaji wa Clouds FM, Millard Ayo akisoma meseji za mashabiki waliokuwa wakifuatilia mahojiano hayo.
Baadhi ya wadau wa Clouds TV, Radio (kulia) wakipata kifungua kinywa kilichokuwa kimeandaliwa.
Wakati wakitoka.
Wadau wakiwa kwenye gari la Diamond wakati akijiandaa kuondoka mahali hapo.
(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.