Sunday, April 5, 2015

Anonymous

VIDEOS: Utashtuka kumuona Michelle Obama akiwa anadance? Nina video zake 2 hapa

Lets move ni jina la campaign ambayo ilianzishwa na First lady wa Marekani, Michelle Obama ambapo kampeni hiyo inahusiana na kuhamasisha masuala ya kuzingatia mlo mzuri, pamoja na kuwa na furaha.

Sasa ni kwamba juzi Michelle alikuwa kwenye Interview na Jimmy Fallon, ishu ninayokusogezea sio kile walichokiongea siku hiyo.. najua utaona kitu tofauti hapa.

Michelle na Jimmy walijiachia.. waka-dance muziki.. wanaonekana happy tuu.. nikajiuliza kitu, hivi ni rahisi kwa mke wa Rais huku Afrika eti kumkuta anacheza kama hivi?
Play hapa uwaone…

Hii sio mara ya kwanza Michelle kujiachia kudance, hii ni video nyingine ya miaka mitatu iliyopita mtu wangu akiwa na wanafunzi…

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.