Rais wa Marekani, Barack Obama wiki iliyopita alitembelea nchini ya 
Jamaica na alikutana na mtu mwenye kasi na nguvu duniani, Usain Bolt.
Obama alifurahisha watu pale alipopiga picha kupozi kama Usain Bolt kwa 
mtindo wake wa ‘lightning pose’
Obama amekuwa rais wa kwanza wa Marekani kutembelea kisiwa hicho tangu 1982.
-via bongo5
-via bongo5

 

 
 
 
 
Note: Only a member of this blog may post a comment.