Sunday, April 5, 2015

Anonymous

VIDEO: MWANAFUNZI ALIYENUSURIKA KUUAWA NA AL-SHABAB KWA KUJIFICHA KABATINI SAA 48 NA KUTUMIA LOTION KAMA CHAKULA!

Mwanafunzi wa kike aliyejificha ndani ya kabati kwa saa 48 wakati wa shambulizi la chuo kikuu cha Garissa nchini Kenya hatimaye amejitokeza.Msichana huyo anasema kuwa alitumia mafuta aina ya 'lotion' kama chakula ili aweze kuishi.
KAMA KIFAA CHAKO KINAUWEZO BOFYA PLAY VIDEO HAPA CHINI NA MSIKILIZE AKISIMULIA MKASA MZIMA KILICHOTOKEA SIKU YA MAUAJI

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.