Kwa sasa ndiyo msanii anayepata airplay kuliko wasanii wote East Africa kwenye channel za kimataifa na wimbo wake hatari sana "nobody but me".
Mwana muziki huyu ambae ni mwanasheria kitaaluma music wake na uimbaji wake una standards za kimataifa unaweza kupenya popo!
Haya ni mawazo ya mmoja wa wadau wakubwa wa music industry hapa Bongoland!
Swali hapa ni kweli utawala wa Lady Jaydee umemalizwa na Vanessa Mdee?! Toa maoni yako hapo chini tafadhali!


Note: Only a member of this blog may post a comment.