Wednesday, April 15, 2015

Anonymous

USAJILI ULAYA: Chelsea yakamilisha usajili wa mshambuliaji huyu raia wa Brazil

Chelsea imekamilisha usajili wa mshambuliaji raia wa Brazil mwenye umri wa miaka 19 Nathan kutoka kwenye klabu ya Atletico Madrid kwa kitita cha euro milioni 4.7.
Taarifa hii imethibitishwa na mchezaji mwenyewe kupitia kwenye ukurasa wake twitter akisema” ninafuraha sana kusaini mkataba wangu kwenye kikosi cha Chelsea na ninawashukuru wote walionitunza.”

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.