Muda mwingine lawama hutupiwa wanawake kuhusu suala la kushika mimba kumbe kiasi kikubwa kinachangiwa na wanaume, kuna matatizo mengi sana siku hizi katika maswala ya uzazi,hasa kupata mtoto tatizo ambalo lilikuwa likisadikika kwamba linawapata wanawake tu kumbe hata wanaume nao linawapata vile vile.
Baadhi ya vitu vinavyoweza kumpelekea mwanaume akapata tatizo hili ni hivi vifuatavyo:
1.Kubeba simu mfukoni mara kwa mara.
Wasomi wamegundua kwamba kubeba simu kwenye mifuko ya suruali kunaleta mionzi karibu na viungo vya uzazi vya mwanaume vinavyoharibu mbegu za kiume na kusababisha kutoweza kutungisha mimba.
2.Kutoweza kuondoa stress zako kwa muda mrefu
3.Kunywa pombe kupita kiasi
4.Kuvuta sigara kupita kiasi
5.Kuwa mnene kupita kiasi
6.Kukaaa sehemu zenye joto kupita kiasi

Note: Only a member of this blog may post a comment.