Leo
Rais wa Burundi Pierre Peter Nkurunzinza amekataa kuachia madaraka
rasmi kuelekea uchaguzi mkuu na kudai kuendelea na awamu nyingine ya
tatu ambayo ni kinyume na katiba ya nchi hyo
Hali hyo imepelekea machafuko ya ghafla na mauaji ya kutisha. Na kusababisha watu kujifungia manyumbani na barabara kuu kufungwa!
Tazama picha za baadhi baadhi ya madhara ambayo tumetumiwa na mwakilishi wa KandiliYetu.com toka Burundi!

Note: Only a member of this blog may post a comment.