MPAKA
dakika 90' zinamalizika, Arsenal wakiwa nyumbani wamemiliki mpira kwa
asilimia 57 kwa 43 za Chelsea, timu hizo zikitoka suluhu (0-0) katika
mechi ya ligi kuu iliyomalizika usiku huu uwanja wa Emirates mjini
London.
Chelsea walipiga mashuti matatu tu (3) yaliyolenga lango na Arsenal mashuti mawili (2).
Arsenal wamepata kona 6, Chelsea 2.
Arsenal wamepata kona 6, Chelsea 2.


Note: Only a member of this blog may post a comment.