Monday, April 6, 2015

Anonymous

PICHAZ: [TISHA SANA] ALI KIBA AFUNIKA MBAYA SHOO YA MWANA DAR LIVE PASAKA!

Mwanamuziki Ali Kiba akizikonga nyoyo za mashabiki waliofurika Dar Live katika shoo yake ya Mwana Dar Live.
Mashabiki wa Ali Kiba wakishow love.
Ali Kiba na mdogo wake Abdul Kiba wakizidi kuwapagawisha mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.
Ali Kiba akizidi kuitawala steji la kupanda na kushuka la Dar Live.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.