Friday, May 1, 2015

Anonymous

PICHAZ: Hii Ndio Jeuri ya Pesa ya Msanii nyota TZ, Jux

Picha ya msanii wa Rnb mwenye show kali akiwa jukwaani Juma aka Jux akiwa dukani huku mikono yake ikiwa imechafuka dhahabu na pesa za kulipia dhahabu hizo imesambaa kwenye mitandao tofauti.

Unaweza kudhani ni showoff tu za kisanii ila kwenye jumbe wa picha hii Jux anakuambia kununua vitu kama dhahabu ni kilevi chake na kwamba ni zaidi ya mkufu ni asset pia na inazidi kupanda thamani kila siku.
Jux Pia ametoa shukrani kwa mashabiki wake waliompendekeza kwenye tuzo za kili.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.