MTU mmoja amefariki dunia huku 25 wakijeruhiwa katika ajali ya basi
la abiria la Jordan lililopinduka leo wilayani Nzega, mkoani Tabora.
Basi hilo lilikuwa likitokea mkoani Mwanza kwenda Arusha na limepinduka majira ya saa nne asubuhi.
(PICHA ZOTE NA GLOBAL WHATSAPP 0712 919 142, KAMA UNA TUKIO TUTUMIE KUPITIA NAMBA HIYO)

Note: Only a member of this blog may post a comment.