Wednesday, April 15, 2015

Anonymous

BREAKING NEWS: BASI LA JORDANI [MWANZA-ARUSHA] LAPATA AJALI MBAYA NA KUUA HUKO TABORA

Basi la abiria la Jordani baada ya kupinduka wilayani Nzega leo.
Mashuhuda wa ajali hiyo wakiwa eneo la tukio.
Marehemu katika ajali hiyo akiwa amelaliwa na basi hilo.
MTU mmoja amefariki dunia huku 25 wakijeruhiwa katika ajali ya basi la abiria la Jordan lililopinduka leo wilayani Nzega, mkoani Tabora.
Basi hilo lilikuwa likitokea mkoani Mwanza kwenda Arusha na limepinduka majira ya saa nne asubuhi.
(PICHA ZOTE NA GLOBAL WHATSAPP 0712 919 142, KAMA UNA TUKIO TUTUMIE KUPITIA NAMBA HIYO)

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.