Jamaa
mmoja alikuwa na tabia ya kwenda club na mke wake lakini wamekuwa
wakigombana mara kwa mara kutokana na wivu pale kila mmoja anapomuona
mwenzake akicheza na mtu mwingine.
Simu moja mwanamke akaenda club akiwa na
marafiki zake baada ya mume wake kumwambia yuko mbali, ghafla
alishangaa kutumiwa massage na mtu asiyemjua na kuanza kumtongoza,
alipotoka nje akamkuta mume wake akiwa na kijana mmoja alipofatilia
akagundua mume wake alikuwa anamtuma jamaa huyo kama kumtega mke wake
kuona kama atamkubali jambo lililozua ugomvi mkubwa.
Kama ulipitwa na Hekaheka bonyeza play hapa chini kuisikiliza…

Note: Only a member of this blog may post a comment.