Tuesday, April 14, 2015

Anonymous

MAHABA NIUE: [PICHAZ] SIWEMA EX-GF WA NAY WA MITEGO AKIFANYA YAKE NA BWANA 'AKE MPYA...EXCLUSIVE

HUYU NDIO KIJANA ANAYE FAIDI PENZI LA MWANADADA SIWEMA ALIYEKUWA MPENZ NA MAMA WA MTOTO WA MSANII NEY WAMITEGO, UNAAMBIWA DOGO ANA PESA CHAFUU BALAA MAANA NI MCHIMBA MADINI NA ANA ZALI LA MEMTALI KILA AKICHIMBA BASI KATUSUA..KWA SASA NI MWENDO WA KUMCHOMESHA MOYO NEY,,KWANI SAHIVI DOGO ANAJILIA KWA UHURU KABISA... AHAH FUL MAHABA NIUE NA GARI JIPYA ILE MPYA YA SIWEMA DOGO NDO KAMNUNULIA BEI MBAYAA..

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.