Wednesday, April 29, 2015

Anonymous

Kutana na picha za kitambo za baadhi ya mastaa wa bongo, Kajala, AY, Salama, Diamond na Ali Kiba, Rita Paulsen na Mchomvu!

Kuna zile picha tu ukiziona za zamani kama ni zako zinakufanya ufikirie mengi, inaweza kuwa hata za watu wengine pia ambapo inabidi upime mwenyewe, kuna watu sura zao hazijabadilika sana na wengine zimebadilika….. jionee kwenye hii list hapa chini.

Kila wiki millardayo.com itakua inakuletea pichaz za zamani za mastaa mtu wangu ambapo kwa leo, hii picha ya kwanza hapa chini ni ya mwigizaji Kajala akiwa shule ya sekondari Jitegemee Dar es salaam time hizo.


Kajala wa sasa

Mtangazaji wa CloudsFM Adam Mchomvu na rapper Chidi Benz

Adam Mchomvu kwenye muonekano wa sasa.

Ay kwenye muonekano wa zamani na wa sasa.

Ay wa sasa.

Mtangazaji Salama Jabir wa EATV na Ay time hizo

Salama wa sasa.

Madame Rita Paulsen mwaka 2008.

Madame wa sasa.

Diamond, Ali Kiba na Berry Black time hizo.

Ni kitambo lakini sio sana hapa ni wakati mwimbaji wa bongofleva Meninah alivyoshiriki kwenye shindano la Bongo star search

Meninah wa sasa.

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.