Sunday, April 12, 2015

Anonymous

DIAMOND MWACHENI AITWE DIAMOND! KINGINE USICHOKIFAHAMU KUHUSU SIRI YA MAFANIKIO YAKE! MIMI NAMPA SHIKAMOO!

Saa 12 asubuhi.. Baada ya kuutumia usiku mzima akiwa studio akapitiwa usingzi mule mule studio .. Kitu kimoja ambacho hukifaham..Diamond hajawahi kufaidi usingizi wa usiku kwa kulala mapema .si kwamba anakawia kulala akiwa anatazama movie..ama anacheza game ama yupo club or bar la hasha!
Muda mwingi anautumia akiwa studio kama hivi, ama akiwa nyumbani basi atakesha akiandika nyimbo tofauti tofauti ndio mana usishangae hadi sasa ana mamia ya nyimbo za kila stayle zipo tu stoo.. Then imagine mtu kama huyu Anavyohangikia kazi yake..kwa juhudi zake mwnyewe anatengeneza kazi nzuri..then mtu from no where atake kumshusha hata wengine kumbeza .. Na wale wavivu Wa kufikiri kuleta stor za ufriimasoni cjui ndumba TZ tubadilikeni basi tuamini tu kua mafanikio hayaji kwa kutegmea mgongo ama kiki ya MTU mwingine ama kukaa / kufanya starehe tuu ukitegemea kufanya vzuri... badala ya kupiga kelele Basi IGA hata mifano yake hii ya anachokifanya!

USIPITWE! JIUNGE NASI FACEBOOK

Subscribe to this Blog via Email :

TOA MAONI YAKO HAPA (MATUSI HAYARUHUSIWI)

Note: Only a member of this blog may post a comment.