
"I love english from my heart,please don't make me sad for my broken.u have to teach me n not sadding me .sijaona hata mmoja alioandika hiyo sentesi kwa usahihi kama mimi nimekosea.mnajua kuchamba tu nitajuaje bila kukosea .mimi nawapenda tu ntafanyaje?sina jins!"
-Ameandika Nuhu Mziwanda!
-Ameandika Nuhu Mziwanda!
Moja kati ya alichoandika Nuhu na kupewa michambo ya nguvu!
MY TAKE: KandiliYetu tunasema sisi wote ni watanzania na Kiingereza sio lugha yetu mama so ya nini tuchekane kwa kuchapia lugha ambayo sio yetu jamani?! Kwanini hatujifunzi toka kwa wazungu ambao kama mbongo ukichapia lugha yao hawakucheki bali wanakurekebisha!
Tubadilike jamani, kwa system hii tutakua tunaogopa kujaribu kizungu!

Note: Only a member of this blog may post a comment.